DARASA 7 WAANZA MITIHANI LEO

0
21

Wanafunzi wa darasa la saba kote nchini leo Septemba 6 wanaanza kufanya mitihani yao ya kuhitimu elimu ya msingi.

Katika kufanikisha zoezi hilo Serikali imetenga Tsh 29.47 bilioni kushughulikia mtihani huo ambao utahusisha wanafunzi 917,072 wa Shule 16,581.

Loading…

Facebook Comments
Loading...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here